Tuesday, 28 May 2013

Byterz watangaza collabo na Camp Mulla

 Speaking of Byterz na Ngoma yao inayokwenda kwa jina la Am on ma way ft Dream iliyotoka hivi karibuni imewafikisha mbali kupitia platforms tofauti za kimziki hususa ule wenye swagz za kimagharibi katika lugha ya kiswahili. Wakiongea na Bongovibess byterz wameizungumzia azma yao ya kutaka kufanya collabo na Camp mulla kutoka kenya kwa sababu ni kundi ambalo linafanya aina ya muziki ambayo inashabihiana na wao, Byterz ambayo inaudwa na Chd Byter pamoja na Penny Byter
waliongeza kwa kusema richa ya changamoto nyingi zinazowakabiri kimziki likini wamejipanga kuutangaza mziki wao kimataifa...Am on ma way ndo ngoma yao ambayo naileta kwako kama jiwe la leo na kesho pia
















Monday, 20 May 2013

Dream apata shavu Kenya

 hatimae furaha ya leo ya Dream yala shavu nairobi nchini Kenya speaking of Dream with his song Furaha ya leo imepata nafasi ya kuanza kuruka katika platforms tofauti nchin Kenya akiongea na bongovibess Dream amesema ni mapema mno kuzungumzia jins alivyopata shavu hilo ila baada ya kazi kuanza kuruka he will announce the situation

Sunday, 19 May 2013

Amazing atangaza kurudi Tanzania na Am looking

mtanzania anaelink ngoma zake kimataifa Amazing ambae pia anafanya poa kupitia platforms tofauti ikiwemo Eastafricantunes na ngoma kama am falling ametangaza kutarget mziki wa nyumbani na kupeperusha bendela ya Tanzania yenye rangi nne. zaid Amazing ameizungumzia track yake ya Am looking ambayo ameitambulisha kwenye media za ndani na kuanza kufanya poa lakini pia kupitia Bongovibess unaweza kuidownloads na kuisikiliza hapa
 

imetengenezwa na Abbah process kutoka Natal records



Akizungumza na bongovibess syllabass amewaomba mashabiki kuipokea kazi yake hii kama ambavyo walivyoipokea mpalala aliyofanya the Dream chini ya director Ray Kasoga zaidi syllabas anapenda kupokea maoni yako kuhusu kazi yake hii

Tuesday, 14 May 2013

Thursday, 9 May 2013


sindano ya moto ni soundtrack iliyotumika kwenye filam mpya itakayozinduliwa hivi karibuni iitwayo sindano ya moto

Tuesday, 7 May 2013

DREAM in SINDANO YA MOTO

hii ndio video ya soundtrack kutoka kwenye movie ya Sindano ya moto itakayokujia hivi karibuni chini ya kampuni ya Plan B solution