Tuesday, 28 May 2013

Byterz watangaza collabo na Camp Mulla

 Speaking of Byterz na Ngoma yao inayokwenda kwa jina la Am on ma way ft Dream iliyotoka hivi karibuni imewafikisha mbali kupitia platforms tofauti za kimziki hususa ule wenye swagz za kimagharibi katika lugha ya kiswahili. Wakiongea na Bongovibess byterz wameizungumzia azma yao ya kutaka kufanya collabo na Camp mulla kutoka kenya kwa sababu ni kundi ambalo linafanya aina ya muziki ambayo inashabihiana na wao, Byterz ambayo inaudwa na Chd Byter pamoja na Penny Byter
waliongeza kwa kusema richa ya changamoto nyingi zinazowakabiri kimziki likini wamejipanga kuutangaza mziki wao kimataifa...Am on ma way ndo ngoma yao ambayo naileta kwako kama jiwe la leo na kesho pia
















No comments:

Post a Comment