tuungane kwa pamoja kuufikisha mziki wetu kwenye anga za kimataifa kwa support kazi za nyumbani..lets join together to promote our music through defferent platform in the world pia unaweza kuungana nasi kwa kulike Dream malaika on facebook
Sunday, 19 May 2013
imetengenezwa na Abbah process kutoka Natal records
Akizungumza na bongovibess syllabass amewaomba mashabiki kuipokea kazi yake hii kama ambavyo walivyoipokea mpalala aliyofanya the Dream chini ya director Ray Kasoga zaidi syllabas anapenda kupokea maoni yako kuhusu kazi yake hii
No comments:
Post a Comment