Richa ya umahili na uwezo mkubwa alionao mkali Ben poul katika anga la R&B tanzania lakini Bongovibes imebaini wimbo wake mpya wa jikubali ni idea ya wimbo uitwao THE HALL OF FAME kitu ambacho kinaweza kuwa kikwazo kuifikisha ngoma hiyo kwenye anga za kimataifa richa ya kuwa na video kaali ya viwango vya kimataifa..tujipange saana kwa sababu mziki wetu unakwenda mbali na wasanii wetu wanauwezo mkubwa saana so watumie vipaji ipasavyo..unaweza kuusikiliza huo wimbo wa hall of fame na kudownloads hapa
No comments:
Post a Comment