Msanii wa nguli wa tasnia ya komedi na mziki nchini Tanzania maarufu kama tozi wa mbagala
amemueleza dully kama msanii mwenye mchango mkubwa kwake kupitia ngoma yake ya
wanangojea ambayo imeeandaliwa na producer Abbah process kutoka Natal records.
akiongea na bongovibes tozi wa mbagala ametoa shukrani zake za dhati kwa media zote hapa nchini zinazosapoti ngoma yake hiyo na kumfanya kuanza kuyaona matunda ya mziki
kwa kupata mashavu ya kutosha, kwa sasa yupo mzigoni anaandaa ngoma yake mpya ambayo anampango wa kufanya na rich mavoco kama ratiba zitakwenda sawa au Dream the voice of Malaika...ngoma inapatikana hapa waweza sikiliza au kudownloads