kama ulikuwa ujawahi kufikilia basi nakuletea hii Dula wa pb ameweza kusimamia colabo ya Ney wa mitego na Diamond plutnum katika studio za empty soulz chini ya producer Mr. T touche's aliewahi kuwa katika studio za shyn records kinondoni katika ngoma hiyo ya Ney inahususisha majibishano kati yake na Diamond kati ya waimbaji na wanaorap kina nani wanazingua ni bonge la ngoma as we hope acha tusubiri tuone itakuwa vipi? kitu kama hiki kilwahikufanyika na madee ft Godzilla lakini kwa idea tofauti ya wakongwe na wasasa pia ilifanya poa so big up mtu mzima Ney&Diamond
isikilize furaha ya leo hapa..http://www.hulkshare.com/dreammalaika
No comments:
Post a Comment