Saturday, 30 March 2013

Uaandaji wa video ya Only me kutoka kwa 2face




hizi ndo picha tatu za uaandaji wa video ya 2face idebia anayokwenda kwa jina la Only me chini ya kampuni ya Capital dreams ambayo pia imefanya kazi kubwa zikiwemo yes/no ya Banky-w ambayo hutumia ubunifu wa hali ya juu kuandaa video katika mazingira ya kawaida na kuzifanya ziwe hot duniani WaTanzania tunamengi ya kujifunza kupitia kwao

Friday, 15 March 2013

diamond tena


mtu mzima diamond amestate nia yake ya kumzawadia mwanadada Penny ndinga inayotarajia kugharim million kumi na tano za kitanzania lakini pia diamond amethibitisha rasmi juu ya ujauzito wa penny kuwa ni wake na anatarajia kufunga nae ndoa richa ya kuwa hajafunguka ni lini?..plutnum ambae amekuwa akifanya poa katika nyanja tofauti ikiwemo za ringback caller tune

Saturday, 9 March 2013

neeeeeeeeeew

check dc out kupitia soundcloud da how marvellous..http://soundcloud.comhttps://soundcloud.com/dreammalaika-1

Tuesday, 5 March 2013



Amini mwinyimkuu kutoka THT aingizwa kwenye skendo ya kuwa na mahusiano na Synage baada ya wawili hawa kuonekana kwenye pozi la pamoja kwenye moja kati ya show za bend ya Extra bongo hata hivyo Synage amekanusha kuwa na mahusiano na amini and dats what we believe so wadaku acheni kuzusha

isikilize ngoma mpya hii hapa..http://www.hulkshare.com/dreammalaika
kama ulikuwa ujawahi kufikilia basi nakuletea hii Dula wa pb ameweza kusimamia colabo ya Ney wa mitego na Diamond plutnum katika studio za empty soulz chini ya producer Mr. T touche's aliewahi kuwa katika studio za shyn records kinondoni katika ngoma hiyo ya Ney inahususisha majibishano kati yake na Diamond kati ya waimbaji na wanaorap kina nani wanazingua ni bonge la ngoma as we hope acha tusubiri tuone itakuwa vipi? kitu kama hiki kilwahikufanyika na madee ft Godzilla lakini kwa idea tofauti ya wakongwe na wasasa pia ilifanya poa so big up mtu mzima Ney&Diamond

isikilize furaha ya leo hapa..http://www.hulkshare.com/dreammalaika

Rich mavoco@Natal records

hongera rich mavoko kwa kazi bomba unazogonga kila siku..kupitia mkali wa Vibes leo tunakutangaza kuwa ni Super bland artist wetu tunaamini wasanii wengine wanamengi ya kujifunza kutoka kwako ili kufikia ndoto zao ..chanzo cha habari na picha ni Ezekiel kushoto mwa mtoto wa mama richard

isikilize furaha ya leo hapa..http://www.hulkshare.com/dreammalaika