Sunday, 13 October 2013

SUMA BODA LIMBUKENI

SIRI YA DIAMOND JUU YA HII DIS

Richa ya kuzungumzwa vibaya na wasanii chipukizi ambao wanahisi kumfaham Diamond kiundani. walipita wasanii wengi hapa nchini waliowahi kufanya vizuri kwenye tasnia ya mziki hususa ni wa bongofleva lakini mpaka sasa msanii anaetajwa sana kwa njia zisizokuwa nzuri na wasanii wenzake hususa chipukizi ni Diamond je unadhani wanatafuta kick au kuna siri gani hapa?...chukua tym yako kuisikiliza hii clip..

Friday, 13 September 2013

Supa bland track_Byter Ft Ephryz coolio


 ts been a long time toka alipoachia track yake ya on ma way the man h z back agn wd hz new 
song Am coolio katika anga za kimataifa, ni track yenye ujazo wa Bar2Bar za kufa mtu

Friday, 16 August 2013

KABULA NI ZAIDI YA UCHAFU WA SODOMA NA GOMOLA





richa ya kuelezwa saana kuwa umaarufu ni mapito sidhani kama mabinti hawa wa Bongomovie ili swala wanalielewa.maisha ya magharibi yamewatawala na kuwafanya wahisi wapo sahihi kutokea kwenye vyombo vya habari kwa skendo chafu..ukitazama kwa kina hata mapato yao hayakidhi mahitaji sasa sijui nini kinamtuma mtu kama Kabula kujilaanisha hivi

Tuesday, 30 July 2013

MWISHO AIFUNGUKIA CLOUDS FM

aliewahi kuwa mshiriki wa shindano la Bigg brother Mwisho Mwampamba ameyatoa ya moyoni mwake kuhusu Clouds FM kupitia account yake ya Facebok

Sunday, 28 July 2013

DID YOU MISS SOME ONE YOU LOVE? BASI MWAMBIE HAYA MANENO

Ni wimbo wa kiswahili wenye muunganiko wa Afropop,R&B na Zouk uliobeba ujumbe wa kimapenzi katika kipindi ambacho unakuwa kwenye mahusiano lakini mpenzi wako kama haitambui thamani yake kwako take your time kuusikiliza hapa